1. Nenda kwenye WhatsApp ulikotumiwa maswali.
2. Kopi maswali.
3. Fungua ColorNote, na u-paste maswali kwenye uwanja wa kuandikia.
4. Anza kufanya/kuyajibu maswali hapo hapo kwenye ColorNote.
5. Ukimaliza kuyajibu, yakopi tena, kisha yatume kwetu kwenye WhatsApp.
6. Subiria matokeo kutoka kwetu.
Kila la kheri!
Kachele Online Spoken English Course (KOSEC)
©2022.
0 Comments