Ad Code

Responsive Advertisement

Karibu tukutengeneza Logo, Book Covers, Vipeperushi na Matangazo Mbalimbali:



YAFUATAYO NI MAHITAJI YA KUTENGENEZA 'LOGO' YA KIDIJITALI.

Katika kutengeneza logo ya kidijitali (digital logo - jpg/png format), yafuatayo yanahitajika: 

(1) Jina la taasisi, kikundi, biashara.

(2) Anuani. 

(3) Motto.  

(4) Mfano wa logo unayotaka kama (kama mfano upo, tutumie picha).

(5) Vitu au alama unazotaka zionekane kwenye 'logo' (symbols/signs) kama unazo.

(6) Logo itakuwa tayari ndani ya siku 7 tu. 

(7) Utatumiwa 'sample ya logo' iliyo kamilika. 

(8) Baada ya kutumiwa 'sample', unaweza kutoa mapendekezo mapya kama yapo.

(9) Utalipia TZS 10,000/= kupitia HaloPesa: 0622 009 566. 

(10) Ukishalipia, utatumiwa logo kamili. 



SASA unaweza kutumia logo yako kwenye: 

📌 Bibao cha Taasisi, kikundi.

📌 Bango/Tangazo.

📌 Barua, n.k. 


KARIBU!


Post a Comment

0 Comments

Close Menu