Ad Code

Responsive Advertisement

"Hakuna hasara kuwa mahiri wa lugha nyingi"

Kama kuna mtu alishawahi kupata hasara kwa kujua lugha nyingi, aje atupe ushuhuda wake.

Mara nyingi kujua lugha nyingi kuna faida lukuki kuliko hasara. Kujua lugha nyingi kuna faida nyingi kama vile: 
- Kujipatia ajira, 
- Kupata taarifa nyingi, 
- Kupata ujuzi mwingi, 
- Kujua utamaduni wa watu wengine, na 
- Kuwa na uwezo wa kujua mambo mengi zaidi kuliko asiyejua lugha nyingi. 

Je, wewe umeridhika na lugha moja? Fanya maamuzi sahihi, chukua hatua. 

📚 JIPATIE English Quiz Book na Everyday Spoken English Book ujifunze Kiingereza zaidi. 


📖You can also read all our books on Kachele Online App or Our App, or even download them HERE!


📞CONTACT US:

📲Call/SMS: +255622 009 566/+255765 884 936

🗨️WhatsApp: +255765 884 936

✉️Email: kacheleonline@gmail.com

Social Media: Manny Kachele




Post a Comment

0 Comments

Close Menu